Recent content by chamilo nicolous

  1. chamilo nicolous

    Special Thread: Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB). Karibu tukusikilize

    Ulipoti wapi Au nifuate hatua zipi kumlalamikia mwajiri( Mkurugenzi mtendaji wa wilaya), Msaada tafadhari
  2. chamilo nicolous

    Special Thread: Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB). Karibu tukusikilize

    Msaada: Ikiwa mwajiri ( Mkurugenzi mtendaji wilaya) amemtengenezea tuhuma mfanyakazi wake na akamchukulia hatua. Kifupi Mwajiri amebadilika kuwa mamlaka ya nidhamu, Ni lalamike kwa nani,
  3. chamilo nicolous

    CCM mkubali tu:- Ukweli, Haki na Uhuru lazima vitafutwe

    Kwa sasa nchi ipo kwenye sitofahamu, Kila kiongozi anajinasibu yuko sahihi, swali wanataka kutupeleka wapi, tuko wapi na tunaelekea wapi? 1; Nikimuuliza comrade Kikwete nani ametufikisha hapa atajibu nini?? 2: Nikimuuliza Mh Samia tuko wapi na unataka kutupeleka wapi je utakuwa na jibu!! 3: Hoja...
  4. chamilo nicolous

    Mh, Samia Suluhu,hizi ni salama zangu kwako

    Onesha usahihi wa maneno yako
  5. chamilo nicolous

    Mh, Samia Suluhu,hizi ni salama zangu kwako

    Sidhani kama mama atajua kuwa wakati wa Giza mshumaa unamaana japo unajiangamiza wenyewe, unatoa mwanga Kwa kujiteketeza
  6. chamilo nicolous

    Mh, Samia Suluhu,hizi ni salama zangu kwako

    Kama wewe sio chawa ,vyeti Havina kazi ...nisawa na cheti cha hospital baada ya matibabu
  7. chamilo nicolous

    Mh, Samia Suluhu,hizi ni salama zangu kwako

    Mwenyebusara hujifunza Kwa mpumbavu......
  8. chamilo nicolous

    Mh, Samia Suluhu,hizi ni salama zangu kwako

    Mheshimiwa pole Kwa mipango ya uchaguzi unayoendelea nayo.Kwa unyenyekevu mkubwa nimeona nikutumie salama, ningekuwa na namba yako ya mawasiliano ningekutumia private, Kwavile sina naomba uzipotee tu, salamu haikataliwi, zipokee tu.....Kumbuka yafuatayo “Madaraka hulevya, lakini madaraka...
  9. chamilo nicolous

    Hekima ni mtazamo

    Viongozi wamejitia upofu, kwa Sababu ya manufaa binafsi
  10. chamilo nicolous

    Hekima ni mtazamo

    Kweli kabisa
  11. chamilo nicolous

    Hekima ni mtazamo

    Chawa hawana akili
  12. chamilo nicolous

    Hekima ni mtazamo

    HEKIMA, AKILI na Ujanja/Hila. Leo 17/8/2025, KKKT imetafakari juu ya kuongozwa na HEKIMA ya Mungu. Mtume Paulo anasema, “Hata hivyo, sisi tunatumia lugha ya hekima kwa wale waliokomaa kiroho; lakini hekima hiyo si ya hapa duniani, wala si ya watawala wa dunia hii ambao wako katika mkumbo wa...
  13. chamilo nicolous

    Kwanini Yesu Kristo aliivunja Sabato? Sababu hizi hapa

    Leta fungu la biblia linalosema jumapili ni Siku ya ibada
Back
Top Bottom