Recent content by Chamelion

  1. C

    China yasema Corona ilianzia Marekani na wanajeshi wa Marekani ndio walioileta China na imeua zaidi ya watu 20,000 nchini Marekani

    Haha swali muhimu hilo japo watasema hawakuwa wakiijua Corona kipindi hicho...habari ni nyingi na ukweli ni vigumu kuupata
  2. C

    China yasema Corona ilianzia Marekani na wanajeshi wa Marekani ndio walioileta China na imeua zaidi ya watu 20,000 nchini Marekani

    Yote yanawezekana mkuu...dunia ina siri nyingi sana na hakuna wa kumwamini China's Coronavirus: A Shocking Update. Did The Virus Originate in the US? - Global Research Naon na wanasayansi wa Japan walisapoti kuwa yawezekana chanzo kikawa USA na hilo la mutation unaloongelea pia limetokea
  3. C

    China yasema Corona ilianzia Marekani na wanajeshi wa Marekani ndio walioileta China na imeua zaidi ya watu 20,000 nchini Marekani

    Wataalam wanasema genome za virusi vilivyopo China ni tofauti na virusi vilivyopo Iran na Italy so China siyo chanzo cha hivyo virusi. Ila aina zote tano za corona virus zipo USA ndiyo maana inasemwa wanajeshi wa USA walioenda Wuhan kwny michezo Oktoba 2019 walikuw n maambukizi tayari
  4. C

    Msaada wa serial number ya IDM (Internet download manager)

    Nitumie email yako inbox nikutumie serial number na maelekezo
Back
Top Bottom