Ila ukweli watu hatumwogopi Mungu, hao hao ndo walipiga kelele kuwa tunawatukana waasisi wa muungano leo unaikataa nchi ya Tanganyika kuwa haipo bali kuna Jamhuri ya Tanzania nini Maana yake?
Mimi ni Mtanganyika naweza sema nina huzuni juu ya Wazanzibar ambao mko tayari kwa nchi yenu kuwa Koloni la Tanganyika ambayo kwa kudhihirisha hilo Rasimu ya Sitta inasema JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NI NCHI MOJA INAYOUNDWA NA NCHI MBILI NAZO NI JAMHURI YA TANZANIA NA ZANZIBAR, je ni kweli...
Kwa mujibu Tangazo la Samwel Sitta Jumatatu 29/09/2014; Jumla ya Wabunge wote wa Bunge la Katiba = 629 Wanaotoka Tanganyika = 419 Wanaotoka Zanzibar = 210 SASA TUIANGALIE ZANZIBAR PEKE YAKE; Theluthi mbili (2/3) ya 210 = 140 Theluthi moja (1/3) ya 210 = 70 Kwa hesabu ndogo tu hapo ni kwamba...
Jamani iko hivi ni kweli jumamosi usiku ya wiki iliyopita TCU waliweka system yakuangalizia Post lakini ilipofika jumapili alfajiri wakaifunga hii sio kwamba walivujisha Post bali walikuwa wanahakiki kama System iko sawa na ndo Maana ilifungwa sasahivi itafunguliwa baada ya kuwa wamekwisha...
Agricultural engineering inahusiana na ujenzi wa muundo mbinu ya kilimo ikihusisha kilimo cha mazao na ufugaji, so nayo pia ni kozi Nzuri ila changamoto zake ni kwanza unasoma miaka minne ingawa sio changamoto kubwa sana kwa anayejua kilichompeleka, pili niwe muwazi ingawa kozi zote za SUA ni...
Kijana hata SELECTION hazijatoka, hujafanya registration chuoni sasa CRDB wakutumie SMS ya nini Kwani nani kakwambia CRDB pekee yao ndo wanapokea na kutoa boom kwa wanafunzi? So tulia kabisa mpaka majina ya waliopata mkopo yatoke then SELECTION za vyuo zitoke ndipo ukaripoti mtapofungua chuo...
UGARI MAHARAGE uko sawa kabisa katika maelezo yako kwa ndugu yetu, karibu sana SUA lakini ni eneo zuri la kujiandaa na Maisha ya baadae!! Mimi niko pale WILDLIFE MANAGEMENT, Karibu sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.