Nimeona habari kupitia TBC kwa mwaka 2021 mkoa wa Daresalam pekee watoto takribani 81 walitupwa. Wanaume hatuwezi kimbia hili sisi ndio tatizo linalopelekea jambo hili liweze kuwa kubwa, tunapaswa kujitathmini kwenye hili.
Kwa mtazamo wangu, naona vyama vya siasa kususia mijadala hasa inayohusisha maswala la kisiasa sio suluhisho la changamoto zinazojitokeza katika nyanja hiyo.
Namwona Ztto Kabwe kama mtu mwenye utashi wa kisiasa kwa kukubari kushiriki na kutumia vyema jukwaa.
Kwa Ombi lake na majibu ya Mh Rais...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.