Recent content by Challya

  1. Challya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umewahi kujiuliza kwanini wanaume wenye tabia njema katika Jamii huteswa na mapenzi?

    Ila hawa nice guy akisema its over huwa hawarudi nyuma, na at the end mwanamke huwa anamkumbuka nice guy, hii ni baada ya kuchapika.
  2. Challya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeoa wiki mbili tu zilizopita lakini tayari nimechoshwa na maisha haya

    Ndoa ni uvumilivu 😀
  3. Challya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri! Nilimsamehe, lakini sasa hanijibu simu wala SMS, nifanyeje?

    Nina mpenzi wng ambae tulikuwa tunapendana sana, ni mwanamke ambae amekuwa akinionyesha maana halisi ya upendo wa dhati, amekuwa akinipenda na kuniheshimu sana tu na hatujawahi kugombana tangu tuwe pamoja. Ila siku ya Jumatano iliyopita nilienda kwake, maana huwa kuna wakati anakuja kwangu na...
  4. Challya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi baadhi ya wake za watu wana shida gani?

    Asilimia kubwa ya wanawake wanaolewa ili tu kutafuta unafuu wa maisha na sio kumpenda mume wake, sasa hapo ndio mwanzo wa kugawa nje sana.
  5. Challya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hata siku moja usimpende mtu zaidi ya unavyojipenda

    Biggest mistake you can ever make is making someone else's happiness your priority "I made sure you were happy even when I wasn't" I felt that line🥹 Guys it's ok to be selfish and self centered about your happiness, if it takes so much from you why bother.
  6. Challya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Fanya haya ili udumu na mkeo

    Hayanaga formula haya.
  7. Challya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jifunze kumpa mwanamke wako hela bila sababu, utanishukuru baadaye

    😆😆😆 kuna watu mnajidanganya. Mwanamke hata umuonge dunia, sio kwamba ndio atatulia. Mwanamke huwa hathamini fadhila, yeye huthamini tu hisia zake, jinsi hisia zake zitakapomtuma ndio hufanya. Mwanaume, ukitaka uje uishi kwa majuto hapa dunianni, basi wekeza pesa zako, nguvu zako, akili yako kwa...
  8. Challya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimepigwa na kufungiwa ndani ya nyumba na mke wangu

    Pole sana.
  9. Challya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Alijua ni bikira lakini alipojaribu hakukuta kitu

    Kuna wanawake hutumia hiyo mbinu ya ubikra, ili wale hela yako kiulaini. Huo ni wizi.
  10. Challya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mifumo ya kidunia ilishaamua mwanaume aishi kwa kukandamizwa na kufanyiwa ulaghai/ udanganyifu

    Wanawake bhana, wanadai 50/50, ila kwenye suala la pesa hawataki 50/50
  11. Challya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mifumo ya kidunia ilishaamua mwanaume aishi kwa kukandamizwa na kufanyiwa ulaghai/ udanganyifu

    NDOA NI UTAPELI, kataa ndoa.
  12. Challya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nisaidieni kuzimua ubongo wa huyu mwanamke

    Mwache, afanye yake.
  13. Challya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mlio oa au kudate na wanawake wa kimachame njoeni hapa tufarijiane ndugu zangu

    Muoe tu.
  14. Challya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatuna marafiki, bali tuna watu wakubadilishana nao mawazo tu

    Huyo unaemuita rafiki ndio anamla mkeo/mpenzi, akakutakia mabaya, anachukia mafanikio yako, anakusema vibaya kwa watu. Ni bora adui ambae unamjua, kuliko adui ambae ni rafiki.
  15. Challya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naishi mbali na mke wangu, kila napompigia simu yake inatumika nifanyaje nimechoka?

    Huyo analiwa
Back
Top Bottom