Labda tuangalie katiba ya CUF Kwa kina zaidi na tusichukue kifungu kimoja, katiba inaweza ikatoa mwanya sehemu fulani halafu ikakunyima upande mwingine, hivyo tusiwaone kama wendawazimu. Mkutano Mkuu huchagua mwenyekiti, na baraza kuu halafu baraza kuu ndio linalo mchagua Katibu Mkuu na ndio...
Hayo ni mawazo finyu kabisa. Kwani sisi wapinzani hatukuwa na mtu wa kumweka kama mgombea ukiacha Dr Slaa na Prof. Lipumba, mpaka tumweke mabaki CCM. Kama ni hivyo hakuna Upinzani Tanzania.
This lady is very hopeless, I think she need the assistance, she doesn't know any thing with politics. Every party have its constitution and regulations which guide them with complying with the national constitution. The issue of CUF and other political parties is that they don't follow its...
Tatizo sio kukoselewa kwa yale yasiyokuwa maana, ila hata mazuri machache anayofanya wengi wenu hamjawahi kusifia. Mie nadhani watanzania tumelaaniwa, kwa miaka 10 tulikuwa tunaulaumu utawala wa JK na sasa mmegeuka na kumwona JK ni mzuri. Duuuh ama kweli MUNGU ameilaani hii nchi. Tatizo...
Ninyi wote mnaomnanga Jaji Mutungi, hamjui huyo jamaa yuko makini mno katika kufanya jambo, na ninamfahamu mno toka tukisoma wote na mpaka alikofanya hivyo huo ujaji wake sio wa kubabaisha, ila kwa kuwa humu ndani mpo zaidi kiushabiki na uhuru wenu kuongea, mnapost tu, tena wengi wenu "form six...
Wee unayejiita sijui Nwaigwe, hivi kwenu ulikuwa unapikia gesi au umeme? Si bahati kuolewa na bwana mwenye kauwezo unashupaa mpaka mishipa ya shingo imekutoka kisa eti unakajiko ka gesi mtungi wa kg 6.
Labda niwaambie mnakumbuka CCM walisema wana mbinu zaidi 100, na walizotumia ni chache sana, hivyo kuja kwa huyo Lowasa upinzani je mnategemea kuna jema kweli? Mnakumbuka Augustine Lyatonga Mrema mwaka 1995 hayana tofauti na ya haya Lowasa. Nakumbuka usemi mmoja kuwa "simba akionja nyama ya...
Lazima tujue mwanzo mzuri. Mengine yatakuja itakapo fanya. Halafu hizi ndege ni kwa safari za ndani na nchi jirani tu. Hapo shirika likihitaji kujipanua zaidi kimataifa ndipo zitahitajika hizo jet.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.