Recent content by chakuu

  1. C

    JamiiForums Tanzania Natamani kumiliki babershop

    ahsante mkuu
  2. C

    JamiiForums Tanzania Natamani kumiliki babershop

    ahsante mkuu nitafanya hvyo...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Natamani kumiliki babershop

    Ni siku nyingi sana natamani kumiliki saloon ya kiume ya kisasa lakini kikwazo kikawa ni mtaji.. Lakini kwa sasa nimejikusanya na kupata million mbili., naomba msaada kwa yeyote mwenye uzoefu katika mazingira ya jiji la Arusha au Morogoro inawezekana au niendelee kujikusanya.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Buying an existing hair cuttng saloon in Arusha town

    am asking for kiosk saloon which have being established with all facilities,, proposed area is At Arusha town..
  5. C

    JamiiForums Tanzania Shule nzuri kwa makombi haya

    kama ww ni wa jinsia ya kiume... Mara boys high school-musoma (EGM) iko vyema...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Kwa watakaohitaji kurudia mtihani wa CSEE mkoni Moshi/ Kilimanjaro

    kwanza umeshanipoteza kabisa mkoa wa moshi uko wap...???
  7. C

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro yafanya vizuri kielimu,Kigoma Singida wafanya vibaya

    moshi mjini(chadema), moshi vijijin(ccm), rombo(chadema), same(ccm), vunjo(TLP), hai (chadema), siha(ccm)
  8. C

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Wapi Dar naweza kununua bidhaa za vifaa vya umeme kwa bei ya jumla

    sawa.. nakutafuta
  9. C

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Wapi Dar naweza kununua bidhaa za vifaa vya umeme kwa bei ya jumla

    Nampango wa kufungua duka la vifaa vya umeme hapa Morogoro naomba kwa anayejua wapi wanauza vifaa hivyo kwa bei ya jumla Dar..
  10. C

    JamiiForums Tanzania ubora wa shule mkoani arusha na kilimanjaro.

    mwanafunz ni wakike au wakiume
  11. C

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro yafanya vizuri kielimu,Kigoma Singida wafanya vibaya

    hongera kilimanjaro, sababu ni tamaduni ya watu wa kilimanjaro kuwa na kipaumbele cha elimu kwa watoto...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Sua kwa hali hii hatufiki

    huyu dogo ni frst yr,,, nandonde alirusha kamba kwa marwa wa business law awafundishe business communication... sasa huyu dogo hajazoea mikikimikiki ya sua...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Sua kwa hali hii hatufiki

    bado yupo...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Sua kwa hali hii hatufiki

    alaf huyu dogo hasomi hata almanac kwamba mwez wa tisa kuna mkutano mkubwa na wahudhuriaji wanahitajika... anahanya mapema sana alaf bado ue haijaisha.. hashangai kwann sua hamna president!... hahah
  15. C

    JamiiForums Tanzania Sua kwa hali hii hatufiki

    dogo soma... ndo kwanza uko 1st yr.. hujakutana na watu kama Dr. dyetabula, prof. mdoe, prof. isinika... utapotezwa kulalamika huku jf hakutakusaidia
Back
Top Bottom