Recent content by chakula cha watoto

  1. chakula cha watoto

    JamiiForums Tanzania Kili Paul ni nani hapa Tanzania mpaka anapata followers wote hawa?

    Hujasema,ila nimeuliza swali tu unijibu..ivi wahindi ni watu au Sio watu?? hakuna sehem nimeandika kuwa umesema wahindi SI watu
  2. chakula cha watoto

    JamiiForums Tanzania Kili Paul ni nani hapa Tanzania mpaka anapata followers wote hawa?

    Kwani shida Iko wapi mbona fresh TU
  3. chakula cha watoto

    JamiiForums Tanzania Kili Paul ni nani hapa Tanzania mpaka anapata followers wote hawa?

    Kwan wahindi Sio watu? Tena ndio advantage kwake maana anakuwa kimataifa
  4. chakula cha watoto

    JamiiForums Tanzania Wapi nikatafute maisha kati ya Botswana, Mauritius,Namibia au Sychelles?

    Ww unamtafuta Kama nani Kama muhusika ni mm,
  5. chakula cha watoto

    JamiiForums Tanzania Kili Paul ni nani hapa Tanzania mpaka anapata followers wote hawa?

    Huyu Masai Hana muda sana tangu aingie au kujiunga social media kama Instagram na TikTok ila followers wanazid Kwa Kasi ya 5G,na Hana hata miaka 4 . Diamond, Millard, Wema, Shilole na wengine hasipokuwa wabunifu anaenda kuwapita followers Kama upepo Je huyu ni nan? Ana mvuto gani mpaka aongoze...
  6. chakula cha watoto

    JamiiForums Tanzania Wapi nikatafute maisha kati ya Botswana, Mauritius,Namibia au Sychelles?

    Nimesema nitajigaramikia Kila kitu mm mpaka hotel yeye Kaz yake kunielekeza tuu
  7. chakula cha watoto

    JamiiForums Tanzania Wapi nikatafute maisha kati ya Botswana, Mauritius,Namibia au Sychelles?

    Duuuh 😂😂😂,usalama wa pesa Yako ukoje..
  8. chakula cha watoto

    JamiiForums Tanzania Wapi nikatafute maisha kati ya Botswana, Mauritius,Namibia au Sychelles?

    Mkuu Mm nimeamn watanzania kusaidiana ngumu sana,,sis tuna roho za uchuro
  9. chakula cha watoto

    JamiiForums Tanzania Wapi nikatafute maisha kati ya Botswana, Mauritius,Namibia au Sychelles?

    Atakudhania vinginevyo, Dunia imebadilika huwez mkurupua tu mtu accidentally hivyo
  10. chakula cha watoto

    JamiiForums Tanzania Wapi nikatafute maisha kati ya Botswana, Mauritius,Namibia au Sychelles?

    Unakuwa na pesa mkononi unawaonesha au?? Kama ni Bank watataka waone Salio au?
  11. chakula cha watoto

    JamiiForums Tanzania Wapi nikatafute maisha kati ya Botswana, Mauritius,Namibia au Sychelles?

    Namba niliyopewa nimtafute mtu wa botswana kanikung'uta tofali sijui nimemkosea nn Yani wabongo bhana Anyway mm kesho niende TU hata sitak kukutana na watanzania waishio huko botswana maana hawana msaada kuomba TU msaada kaniblock
  12. chakula cha watoto

    JamiiForums Tanzania Kisuma mumiliki wa Baa za Kisuma ni Mtu wa wapi?

    Mleta mada yupo sahihi, Kwa mafanikio kitambaa cheupe hamfikii kisuma,, Yule dada ni mtoto TU
  13. chakula cha watoto

    JamiiForums Tanzania Kisuma mumiliki wa Baa za Kisuma ni Mtu wa wapi?

    Bar nying wachaga ndowamiliki ndio mana barmaids wengi wachaga maana wanachukua ndugu zao Kisuma ni mkongwe kwenye hii biashara pia ana jiko zuri la chakula ndio mana yupo vzr
  14. chakula cha watoto

    JamiiForums Tanzania Wapi nikatafute maisha kati ya Botswana, Mauritius,Namibia au Sychelles?

    Nahis unaruhusiwa siuna pesa
Back
Top Bottom