Recent content by chakudunda

  1. C

    Hakikisha unafanya kwa ukubwa Biashara yako wakati unaanza

    Inamaana apa unatengeneza UWITAJI utakapo uza kwa shilingi mia tano na ulinunulia mia tano yawezekana watu walikuwa hawanunui kwaajiri ya bei hivyo utakaposhusha wataama kule wako nunua wataambizana kuja kwako na watakuwa wanakuja kununua na vitu vingine kwa sababu ya hiko kitu uoni kama...
  2. C

    Watu wanao ongoza kufeli kwenye biashara

    Asilimia kubwa ya biashara zinazokufa ni za wale watu ambao wanaomba mawazo mfano nna milioni Moja na laki tano nifanye biashara gani ? Hizi biashara huwa hazichukui mda mrefu kwasababu mtu anafanya biashara ambayo Hana uzoefu nayo na sio Kila biashara Ina inauzika Kila sehem UNAWEZA TUMIA...
  3. C

    Biashara kati ya mtu mwenye elimu na asiye na elimu

    Unaposema mtu ananya research adi msimu unapita ilo ni tatizo hawezi fanya research ndefu katika kipindi Cha msimu huo unao taka ufanya hio biashara research INAFANYWA kabla huo msimu Ina inasaidia kujua Kila msimu bidhaa gani huwa sokoni na wanunuzi ni watu wahali gani,na huwa soko lake kubwa...
Back
Top Bottom