Recent content by chakolo

  1. chakolo

    TANZIA Padre Ireneus Mbahulira amelala usingizi wa umauti akipatiwa matibabu Hospitali ya Mugana

    Na ukizingatia kwamba marehemu alishakula chumvi nyingi (miaka 80 si haba!!!). Inawezekana muda wake wa kuishi ulishatimia
  2. chakolo

    Kitendo cha Lema na Familia yake kupewa Asylum Canada kinaashiria Taifa limeanza kutengeneza wakimbizi wa kisiasa, jambo ambalo halina afya

    Jamani uzi unajieleza vizuri, mbona mnaleta masihara ktk issue nyeti kwa taifa letu? Tujitafakari tumekosea wapi mpaka tunaanza kutengeneza wakimbizi. Sifa ya taifa letu inaharibika. TUTAFAKARI kwa kina!
  3. chakolo

    GE2020 Kwanini CCM hawamkemei Harmonize kumtukana Gwajima kila mara, tena mbele ya Magufuli?

    Ah wapi! Alila kama gogo hakutoa ushirikiano. Kama alilazimishwa tu
  4. chakolo

    GE2020 Tundu Lissu na Dkt. Magufuli wajiandae kisaikolojia, lolote linaweza kutokea

    Kinana na Nape walifanya kazi kubwa ingawaje wamepuuzwa kwa sasa
  5. chakolo

    Ni nani alitaka kumuua Tundu Lissu?

    Unamaanisha serikali yetu haina uwezo wa kuwakamata wahalifu wa mauaji?
  6. chakolo

    GE2020 Dkt. Magufuli: Bunda walijichanganya wenyewe, Utawapelekeaje Barabara watu wanaokutukana?

    Na "Niguse ninuke" hawezi kuwapiga hao wote kwenye sanduku la kura?
  7. chakolo

    GE2020 Kauli hii ya Magufuli ya kuongezewa miaka 5 inaashiria kakata tamaa?

    Kura yake aliyojipigia ikamwondoa kwenye kinyanganyiro
  8. chakolo

    GE2020 Kauli hii ya Magufuli ya kuongezewa miaka 5 inaashiria kakata tamaa?

    Sasa hivi ametulia na anaongea kwa kujiamini kadri siku zinavyosonga
  9. chakolo

    GE2020 Kauli hii ya Magufuli ya kuongezewa miaka 5 inaashiria kakata tamaa?

    Anaongea kwa unyenyekevu sana. Naamini hata kipindi kijacho atabadilika na kuwa msikivu. Kuna kitu amejifunza
  10. chakolo

    Kutoka Mahakamani: Sikubakwa na mshtakiwa nilitaka mwenyewe maana ni mpenzi wangu

    Kweli hapo lazima hekima na busara vitumike na siyo kuangalia tu vifungu vya sheria vinasemaje
  11. chakolo

    TTCL yetu iliyokuwa ikihujumiwa sasa imeamka

    TTCL hawako kibiashara kabisa. Bei zao ni kubwa sana na hawajihangaishi kwenye marketing
  12. chakolo

    GE2020 Dalili zote zinaonesha anga limeikataa CCM

    Hiyo ni ndoto, si rahisi kihivyo
Back
Top Bottom