Recent content by Chaki na Ubao

  1. Chaki na Ubao

    Waafrika tumefikia kwenye hatua mbaya sana. Baadhi ya wachungaji wa kilokole wamejipa uungu mtu, wanapenda kutukuzwa, kuabudiwa na kusujudiwa

    Jaribu kusoma bila kuhukumu utaelewa makala imemaanisha nini, lakini pia tukumbuke kuwa "roho wachafu" tunawaruhusu wenyewe kwani tumepewa nguvu ya kuwashindi ila tu tunakosa maarifa kwa fikra tegemezi
  2. Chaki na Ubao

    SoC01 Tatizo kubwa katika Elimu yetu ni Elimu ya Msingi na Awali

    Umenena vema, ni swala nyeti hili. Mabadiliko haya yakiambatana na mabadiliko ya mazingira ya utoaji wa elimu kusudiwa yatakuwa na tija zaidi
  3. Chaki na Ubao

    SoC01 Elimu ni Msingi kwa Mtoto

    Kinachonichanganya zaidi in kuona watoto wa shule za awali wakipewa monthly test huku wazazi tukitamba na 'A' za kwenye makaratasi kwamba mwanangu yuko vizuri.
  4. Chaki na Ubao

    SoC01 Tanzania karne ya 21 bado tunahitaji kuhamasishwa juu ya usafi wa vyoo?

    Eti Choo Jamani, Dah! Moja ya kampeni kubwa kabisa kufanyika katika nchi hii ni “Nyumba Choo”, kampeni inayohamasisha ujenzi na utumiaji wa vyoo bora katika kaya zetu. Haina ubishi, ni suala nyeti hili kwa kulinda afya katika jamii zetu, lakini ninapata ukakasi kidogo na kujiuliza, katika karne...
Back
Top Bottom