Recent content by chakapoteza

  1. chakapoteza

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kutimiza lengo hili

    nili nilikuwa nafikira malengo tofauti tofauti kwa ufupi sina changamoto kwenye elimu ila changamoto kwamba nitafanya nini nikimaliza chuo kikuu ndipo nikawa nawaza nianzishe pengine kituo cha tuition, nifungue open school ambayo itajumuisha QT, Resiters na tuition center, lakini sijajua hatua...
  2. chakapoteza

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kutimiza lengo hili

    Ndugu zangu, mimi ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na naelekea kumaliza chuo ifkapo mwezi wa 7 mwaka huu 2020. Nina mawazo kichwani mwangu huku likiwa wazo kuu ni kwenda kutatua changamoto ya elimu katika mazingira yanayonizunguka kwa ndugu zangu wajao, namaanisha watoto wote wa...
Back
Top Bottom