Recent content by Chakabuzi

  1. C

    JamiiForums Msaada wa shule ya msingi ya Boarding (English medium) iliyopo Morogoro

    Wakuu naomba msaada wenu kwa anae jua shule ya msingi (English medium) iwe boarding iwe mkoa wa Morogoro,Natanguliza shukrani zangu kwenu wanajukwaa
  2. C

    JamiiForums Naomba kufahamishwa, ukipata division three CBG unaweza kusoma kozi zipi kwa diploma?

    Nashukuru sana mkuu ngoja nianze kujipanga
  3. C

    JamiiForums Naomba kufahamishwa, ukipata division three CBG unaweza kusoma kozi zipi kwa diploma?

    Nashukuru mkuu kwa ushauri wako ngoja nifuate mwongozo wako
  4. C

    JamiiForums Naomba kufahamishwa, ukipata division three CBG unaweza kusoma kozi zipi kwa diploma?

    Matokeo yako hivi GEOGR=D,CHEMISTRY=D,BIOLOGY=E NA BAM=F
  5. C

    JamiiForums Naomba kufahamishwa, ukipata division three CBG unaweza kusoma kozi zipi kwa diploma?

    Nipe ufafanuzi kidogo mkuu according na hiyo Nursing kama inawezekana kwa utaratibu wa sasa
  6. C

    JamiiForums Naomba kufahamishwa, ukipata division three CBG unaweza kusoma kozi zipi kwa diploma?

    Nashukuru mkubwa lakini ningependa kujua kozi zaidi ya moja
  7. C

    JamiiForums Naomba kufahamishwa, ukipata division three CBG unaweza kusoma kozi zipi kwa diploma?

    Habari za kazi na majukumu mbalimbali wana jukwaa naomba kufahamu ikiwa form six amepata division three kwa comb ya CBG anaweza soma course zipi kwa ngazi ya stashahada naomba msaada wenu
Back
Top Bottom