Recent content by Chaka la wakubwa

  1. Chaka la wakubwa

    Ndo naingia humu, new comer

    Mbona kama unanitisha hvi vipi jina hli linaugomvi na wewe maana sjafanyakibaya mbna
  2. Chaka la wakubwa

    Ndo naingia humu, new comer

    Vp nibadili id au unamaana gani🙄
  3. Chaka la wakubwa

    Ndo naingia humu, new comer

    💯 sawa mtaalam , tajiri nimeelewa vp mlikua mkitegemea ujio wangu au maana huu upokeaji wa ajabu
  4. Chaka la wakubwa

    Unaweza kuruhusu ex wako awe na mazoea ya ukaribu na mpenzi wako

    H Hyo point nimeimark ntafanyiaga kazi😁😁
  5. Chaka la wakubwa

    Ndo naingia humu, new comer

    🤣🤣thanks shoes
  6. Chaka la wakubwa

    Ndo naingia humu, new comer

    Zpo za wdada 2 na wewe ni mdada
  7. Chaka la wakubwa

    Ushauri: Mpenzi wangu ni mkimya kupita kiasi

    Badilika style ya maisha yako , ila me nnae kama huyo lakin saiv anaongea normal 2 , just ni jambo la mda uscheke cheke sana usiongee sana afu kua straight yan mchane nigga hufagilii vyenye alivyo , mood swings ,
  8. Chaka la wakubwa

    Unaweza kuruhusu ex wako awe na mazoea ya ukaribu na mpenzi wako

    Bhana me niliachana na dada mmoja alikuwa mzinguaji sana yaani alizingua alikuwa amezoeana na masela zangu akaanza ushem shem si wakataka kummega akakubali nikamuacha. Sasa nkapata pisi moja hiyo nimeanza nayo mahusiano ex wangu akaanza kumzoea si wakawa marafiki ndo akaanza mazoea nae wakawa...
  9. Chaka la wakubwa

    Ndo naingia humu, new comer

    Habari ndo mara yangu ya kwanza kutumia jf nimeikubali naamini hakuna utengano , Asanteeeeh
  10. Chaka la wakubwa

    Vipi Mdau, Ukiona sign gani kwenye mahusiano ya kimapenzi unajua hapa hatufiki mbali?

    Daaah appointments nyingi afu story za pesa🏃🏃🏃🏃
Back
Top Bottom