Recent content by chairperson

  1. C

    Mademu Wanaopenda Pesa

    Mtu wangu hizo ni moja ya sababu ya kumgundua mke mwema na wala sio demu mwema, maybe niulize kwanza lengo lako ni lipi, kuwa na demu au mchumba na baadae mke? Make kama ni mke aombe pesa kwa mpangilio na si kwa style ya kuchuna.
  2. C

    Mwanaume kujiliza liza kha!

    Unajua hata kile kitendo cha kulialia kama unavyodai ni kazi kubwa sana, hivyo si ajabu mtu kama huyo kumsaidia tu kama unania, mtu mkweli humwambia mhusika live kama inakukera make kuwa mwanamke si kigezo pia cha kujilizaliza.Hivyo Misemo kama HAKI SAWA AU WOMEN EMPOWERMENT iweze kuwa na...
Back
Top Bottom