umri wangu 28, mwajiriwa serkaln, natafuta mume alie nawatoto pia tujenge familia, hata asiye nauwezo wakupata watoto, wanangu nina uwezo wakuwahudumia usihofu, ila upweke ndo unanisumbua, nilipenda nisikopendwa nikanyanyasika sana nikaamua kuachia wengine, ila sikufunga ndoa
Ni inbox