kwa kweli pongezi kwa Sitta, yani hawa watu wa Kenya, Rwanda, Burundi na Uganda, maeneo yao yamejaa mno kiasi kwamba hata ardhi ya kuwapa ndugu zao angalau wajenge hamna, wanachotaka zaidi ni kupata ardhi huku kwetu ili kupunguza msongamano walionao. big up Sitta hamna kusign hicho kipengele cha...