Recent content by Chagani

  1. C

    ICT internship seeker

    Kausha kama huna msaada, ndio wanavyofanya waungwana!!
  2. C

    ICT internship seeker

    Wakuu habari, mimi ni kijana mtanzania, mhitimu wa fani ya Computer science, pia nime-certify CCNA routing and switching. Shida yangu ni kwamba nahitaji nafasi ya kujifunza kwa vitendo hata kwa kujitolea its ok. Ahsante
  3. C

    Uswazi

    Mama mdaku alishangaa kila siku mchungaji anaingia nyumba ya jirani yake ambaye hana mume, akawa anajiuliza anakwenda kufanya nini? Uzalendo ukamshinda akamuuliza "Mwenzangu, mbona kila siku mchungaji anakuja kwako, vipi anakuja kukuombea?" Akajibiwa "Nyoo, umbea tu! Mbona kwako kila siku...
  4. C

    Kibaka na bubu

    Kibaka ampiga bubu roba,Bubu kwa kujitetea akawa anapiga kelele "abaabaabaabaa "Kibaka ili acjulikane kama anamkaba akamalizia "prakatatumbaa"tumbaa...
  5. C

    Natafuta internship, nna Bachelor ya Computer science + Cisco (CCNA)

    Nna lower second,IFM, na nipo dar mkuu
  6. C

    Natafuta internship, nna Bachelor ya Computer science + Cisco (CCNA)

    Wakuu mi ni kijana (mme) mwenye umri wa miaka 26, nmehitim bachelor ya computer science mwaka 2014, natafuta internship ya field yangu ili kupata uzoefu. Naomba kuwasilisha wana jamvi.
Back
Top Bottom