Recent content by CHAGA

  1. C

    JamiiForums Tanzania Nani analifahamu jimbo la Tandahimba?

    Lile jimbo nalifahamu vizuri mno ,tangia kata zake .nikweli kuna umeme wa uhakika ila nyumba zenye umeme kwa kwa makadirio ya juu hazijafika 10,000/= na ni wilaya nyenye watu maskini kiliko wilaya zote za mtwara.ila inaongoza kwa uzalishaji wa korosho.kule 90% ni wana cuf.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Serikali, Wenye Hisa za NICOL ndio wameliwa au...?

    naunga mkono hoja 100/100
Back
Top Bottom