Recent content by CHADEMA_KUSINI

  1. C

    Naibu Katibu Mkuu CHADEMA Salum Mwalimu, ndani ya Mtwara leo

    Tutawashughulikia kinoma noma leo
  2. C

    Naibu Katibu Mkuu CHADEMA Salum Mwalimu, ndani ya Mtwara leo

    Hakuna kitu kama hicho. Mahafali hayapangwi na Zitto. Mahafali ya CHASO yaliandaliwa siku nyingi takribani miezi miwili iliyopita.
  3. C

    Naibu Katibu Mkuu CHADEMA Salum Mwalimu, ndani ya Mtwara leo

    Mh. Salum Mwalim Naibu Katibu Mkuu CHADEMA leo yupo ndani ya Mtwara Mikindani atafanya kazi kadha katika siku ya leo. 1. Atawapa vyeti wana CHASO Mtwara ambao winahitimu katika chuo cha STEMUCO 2. Atafanya mkutano mkubwa wa hadhara katika viwanja vya MKANALEDI Mtwara Mjini Wakazi wote wa Mtwara...
  4. C

    Katibu Mkuu DK. Willibrod Slaa ziarani Barani Ulaya

    Tunakutakia mafanikio katika ziara yako.
  5. C

    Majimbo mengi Rukwa yatakwenda Upinzani. Angalia mgogoro huu unaotokana na Mwenyekiti!

    Rukwa nawaaminia. Mwenyekiti wetu Mwanajeshi Mstaafu na Katibu wetu RAS Mstaafu wanapiga kazi ile mbaya. majimbo yote matano yatabebwa.
  6. C

    Changia CHADEMA Kanda ya Kusini

    Weka chochote mia tabo,elfu moja, n.k zitasaidia sana kuelimisha vijijini na ushindi tutapata
  7. C

    Changia CHADEMA Kanda ya Kusini

    Kusini .......TUNA JAMBO LETU
  8. C

    Changia CHADEMA Kanda ya Kusini

    Wenzako waliokuwa na mawazo kama yako hasa kabla ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa siku hizi hawatoi hoja kama hizi. Mfano Mtwara Mjini CUF imepata mitaa 36, CHADEMA imepata 16 na NCCR imepata 5. Nachingwea CUF imepata vijiji 13, CHADEMA imepata 12, CUF kina Diwani 1 na CHADEMA Madiwani 4...
  9. C

    Changia CHADEMA Kanda ya Kusini

    Mtu mwenye akili na anayetafakari vizuri hawezi kuandika uzi kama wako. Hebu tazama, CHADEMA tumenunua pikipiki mpya toka kiwandani kwa order maalum jumla ya 378. Zimegawanywa Majimbo yote nchi nzima. Magari kama unavyoona namba zake yakipita utakuta 87,.......102 n.k . Watanzania wanajua kazi...
  10. C

    Changia CHADEMA Kanda ya Kusini

    Ungeleta takwimu hiyo 95% ni shilingi ngapi na 5% pia ni shilingi ngapi.
  11. C

    Changia CHADEMA Kanda ya Kusini

    Kanda ya Kusini inaundwa na Mikoa ya Lindi na Mtwara na Kanda ya Nyanda za Juu Kusini inaundwa na Mikoa ya Ruvuma, Njombe, Iringa, Mbeya na Rukwa
  12. C

    Changia CHADEMA Kanda ya Kusini

    Ahsante Wabogojo
  13. C

    Changia CHADEMA Kanda ya Kusini

    Utashangaa CHADEMA ikashinda zaidi kuliko hiyo CUF. Lakini si kweli kwamba CHADEMA hakipo. Mfano Mtwara Mjini CUF imepata mitaa 36, CHADEMA imepata 16 na NCCR imepata 5. Nachingwea CUF imepata vijiji 13, CHADEMA imepata 12, CUF kina Diwani 1 na CHADEMA Madiwani 4. Nanyumbu CUF imepata vijiji 9...
  14. C

    Changia CHADEMA Kanda ya Kusini

    Karibuni tushirikiane ili tufanikiwe kumtoa mdudu huyu (CCM)
Back
Top Bottom