Imefikia hatua tukubali kwamba Demokrasia ya kuchagua sera Tanzania bado sana. Kama chama shindani kina kuonyesha njia mbadala wanayo weza kutumia kuboresha maisha yako, ambayo hupatikana kwa kura yako tu haieleweki, na bado watu wanashabikia CCM kwa kutishiwa uharibifu wa amani. CDM tuna kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.