Recent content by chachili

  1. C

    JamiiForums Tanzania Kununua gari toka Zanzibar

    Boss! Nimeipenda hiyo umeongea kisomi sana. Kuna rafiki yangu alinunua extrail bush tu zikaisha kununua ilikuwa majanga. Wakati za noa au ist ni 20 to 50. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. C

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano gani kati ya mafundi wa nguzo wa Tanesco na matusi?

    Mkuu ntumie whatsapp ncheke kidogo
  3. C

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano gani kati ya mafundi wa nguzo wa Tanesco na matusi?

    Hahahaa! Ckumoja walikuja factory kwetu arusha kubadilisha line sasa wakati wanavuta waya wakawa wanaimba hivi " ina wakaaaa wa ina wakawaka sasa mi nikajua ni bi harusi mwisho wakasema mkund inawakawaka. Wakaanza tena inamereeeme wengine wakaitikia inameremeta kum inamereta. Du nkachoka.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Gari iliyomteka MO yakutwa imetelekezwa Gymkana

    Du! Kweli mkuu, nilivyoiona video clip ya mo nilishanga sana hataki kuwaangalia wale jamaa me mwenyewe nikajua kuna kitu tu.
  5. C

    JamiiForums Tanzania Usiogope kutishwa na kukata tamaa, Mtu akisema maisha ni magumu, wewe thibitisha kuwa maisha ni mepesi

    Kweli kabisa mkuu! Ukihitaji matatizo ya ndoa yaje karibu na wewe usiwe mkweli. Wanawake wengi wanayaiga mambo tuyafanyayo! Ukimuonesha mambo mabaya atajifunza, atayazoea na atakuonesha but ukiwa mkweli mwanamke huwa mwaminifu zaidi. Na ndio MAANA BIBLIA INATUASA KWAMBA ENYI WANAUME ISHINI NA...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Usiogope kutishwa na kukata tamaa, Mtu akisema maisha ni magumu, wewe thibitisha kuwa maisha ni mepesi

    Hakuna ndoa nzuri kama za kiafrika, wanawake wa kiafrika wengi wao ni wavumilivu sana wakati mwingine sisi ndio tunaowasumbua kwa kufanya mambo mengi huku tukiwaficha wao wasiyajue. Kuhusu kutishwa kweli mtoa mada upo sahihi asilimia 100 kwani mimi nimepitia maisha ya kuogopeshwa saana lakini...
Back
Top Bottom