Recent content by Chaambu

  1. C

    Beatus Ndanyahubwi Kipea apolwa utaifa kwa wana Kigoma

    suala la wazenji linakujaje na watanganyika linaingiaje hapa?
  2. C

    Beatus Ndanyahubwi Kipea apolwa utaifa kwa wana Kigoma

    Hatua lazima tuzichukue sisi wenyewe hawa magamba wamezidi ndg yangu.
  3. C

    Beatus Ndanyahubwi Kipea apolwa utaifa kwa wana Kigoma

    Ndugu zangu watanzania naomba tujadili suala hili ambalo linaonekana kushamili hasahasa kwa watanzania waishio mikoa ya mipakani lakini hususani mkoa wa Kigoma. Ndugu Beatus Ndanyahubwi Kipea, Muha wa Kigoma jimbo la Muhambwe ambaye alichaguliwa kuwa mjumbe wa baraza la katiba wilaya ya...
  4. C

    Polisi wamkamata Lwakatare, apelekwa kwa mahojiano Makao Makuu

    binafsi ninahisi kuna mchezo mchafu wa kuiharibia CDM, Ukiangalia kwa makini hiyo clip utagundua kuwa kifaa kilichotumika kuchukua video kilikua karibu sana, na maongezi yalikua baina ya watu wawili ambapo mmoja hajaonekana, meaning that kuna uwezekano mkubwa huyu aliyekuwa akiambiwa ndo...
  5. C

    Polisi wamkamata Lwakatare, apelekwa kwa mahojiano Makao Makuu

    ukiangalia hiyo video clip kwa makini utaona kuwa aliyekuwa anachukua video alikua just near by au camera ilitegwa karibu sana, lakini pia mipango hiyo inaonekana kusukwa ili kuiharibia chadema na hata pale mwisho wa clips utagundua kuwa kitu kilichokua kikitumika kurecord kilidondoka chini na...
  6. C

    Kwa ubunifu huu....CHADEMA Itaweza kutoa elimu bure katika ngazi zote

    Safi sana ndg yangu, umenifumbua sana na nimeichukia sana CCM kuliko nilivyokua naichukia!
  7. C

    Waziri Bernard Membe na Hotuba ya Kiingereza Uzinduzi wa Mwai Kibaki Road

    Ni sawa na yule ampokeaye mgeni atokaye sehemu kame sana akakuta kwako kuna mvua ya kutosha akasifu juhudi zako za utunzaji mazingira na akapanda miti kuonesha kushirikiana na wewe halafu wewe kumuonesha unamjari sana ili kuendana na huko alikotoka ukaanza kukata miti na kung'oa ile...
  8. C

    Waziri Bernard Membe na Hotuba ya Kiingereza Uzinduzi wa Mwai Kibaki Road

    Ni sawa na mgeni atokaye sehemu kame sana akakuta kwako kuna mvua ya kutosha akasifu juhudi zako za utunzaji mazingira na akapanda miti kuonesha kushirikiana na wewe halafu wewe kumuonesha unamjari sana ili kuendana na huko alikotoka ukaanza kukata miti na kung'oa ile aliyopanda!!!
  9. C

    Kigoma mjini wanaitaji ukombozi jamani....

    M4C ni zaidi ya matarajio yetu, tutegemee mambo makubwa sana na vuguvugu hilo, ninachojua ni kuwa wanakigoma ni waelewa na wachambuzi wa baya na zuri kwa makini zaidi bila kufungamana na upande wowote wa dini au tofauti zozote zile, kwahiyo sera nzuri za CDM zitamuweka mgombea madarakani na sera...
  10. C

    Rais Kikwete ulisema hupendi kusutwa, mimi nakusuta!

    Anatoa ahadi wakati anafikiria safari za nje at the same time, kwahiyo kitakachokumbukwa baada ya hapo ndo kinafanyika, so hiyo ahadi ya ajira ilipokonywa na safari za hivi karibuni.
Back
Top Bottom