Recent content by Cha Ukwee

  1. Cha Ukwee

    Ninahitaji kupanga bajeti ni laki moja kwa mwezi!

    Habari ndugu zangu... kama kichwa cha habari kijielezavyo,nina hitaji nyumba yakupanga...nipo mimi na mdogo wangu. Hivyo nyumba ninayo hitaji ni vyumba viwili tu vyakulala yani chumba na chumba,mahali sehemu yoyote hapa Dar es Salaam,ilimradi nieleweke hili kama zingatio la kwanza isiwe nje ya...
  2. Cha Ukwee

    Upweke unanisumbua wakuu

    alama za nyakati zinaonesha soon sana utampata...umeumba mkuu kile unachoitaji!! :clap2:
  3. Cha Ukwee

    Kama ni ww utamuachache mtu uliye mpenda?

    ni zaidi ya ushauri@lizzy tks.
  4. Cha Ukwee

    Kama ni ww utamuachache mtu uliye mpenda?

    thanks @lizzy:laugh: yako pending@babu lao
  5. Cha Ukwee

    Kama ni ww utamuachache mtu uliye mpenda?

    mhmhmh...Lizzy ur helpful!! Asante sana nimekuelewa sana,aksante.
  6. Cha Ukwee

    Kama ni ww utamuachache mtu uliye mpenda?

    Voic asante sana kaka...lakini zaidi wat kinda bize niwe nayo itanikip kufoget? coz na fanya kazi sehem flanflan adi late sana lkn ule muda ninaokua nimetoka kwa job najitaidi kujicontro nashndwa lastly naangukia ktk callng o mesejng kaka... WHAT KIND OF BUSY BRO?
  7. Cha Ukwee

    Kama ni ww utamuachache mtu uliye mpenda?

    The Boss haraka haraka typng era kaka lakini kimsingi naamini nimesomeka...
  8. Cha Ukwee

    Kama ni ww utamuachache mtu uliye mpenda?

    poapoa lizzy...umesomeka! na naomba niombe radhi kwako na kwa wooote...SIYO demu...NI MAHABUBA WANGU.
  9. Cha Ukwee

    Kama ni ww utamuachache mtu uliye mpenda?

    Ushauri wenu tauzingatia na nita-uheshim saaaaaaaana.
  10. Cha Ukwee

    Kama ni ww utamuachache mtu uliye mpenda?

    salaam alekyum ndugu wana jamii! Una MAHABUBA kwa miaka kadha wa kazaa sasa,na penzi letu lilikua m'banano na moto moto...adi mkazoeana na mkachukuliana ka hakuna namna nyingine yakuwatofautisha zaidi ya yoote vitu vingi ambavyo man alikua m bishi kufanya au kuitikia wito juu ya kitu au jambo...
Back
Top Bottom