Recent content by CFO

  1. CFO

    Kama una akili nyingi soma hapa

    aisee mbona hueleweki, upo mkoa gani mkuu? hao kondoo idadi yao wanafika 100? kama vipi basi ni vyema uwachunge ww mwenywe. kondoo sio kama ngombe hawana tabu sana kuwachunga. pia tunaweza kuongea biashara, maana nahitaji kondoo 1 kwa ajili ya eid mwezi wa 5.
  2. CFO

    Naomba mniombee! Ninaumwa sana shingo, yani hapa nageuka mzima mzima kama Fuso!

    ungeeleza shingo inauma vipi? je ni misuli? ni mishipa? nk. watu wenye taaluma ya afya wangekupa ushauri. ila matokeo yake umeenda kuongelea mambo mengine out of the point.
  3. CFO

    Kwa wale wafwatiliaji wa mieleka (wrestling) hivi yale mapigano ni ya kweli au maigizo

    kwa sababu watazamaji wengi wanadhani ni kweli yale mapigano.. ila ki uhalisia ni staged.
  4. CFO

    Huyu ndio mwanaume ninayemtaka, sitaki kuumiza moyo wangu una thamani

    kweli? na uandishi huu? na ujumbe kama huu? sehemu kama hii?
  5. CFO

    Nahitaji office chair (kiti cha ofisini)

    poa mkuu
  6. CFO

    Nahitaji office chair (kiti cha ofisini)

    Salaam.. Yeyote ambae anauza kiti cha ofisini used/kipya, basi nipe picha yake na bei yake Nipo dar nimeweka picha za sample, nahitaji kiti cha namna hii bei isiwe juu sana.
  7. CFO

    INAUZWA UPS used inauzwa bei rahisi sana

    bado unahitaji boss ?
  8. CFO

    INAUZWA UPS used inauzwa bei rahisi sana

    poa, upo dar? angalia pm yako. nimekutumia namba yangu ya simu.
  9. CFO

    INAUZWA UPS used inauzwa bei rahisi sana

    kama haitafanya kazi utarudishiwa pesa yako full (elfu 20) na battery utakaa nayo. ila asilimia kubwa itafanya kazi kwani ni brand nzuri sana hizi APC.
  10. CFO

    INAUZWA UPS used inauzwa bei rahisi sana

    nimeikagua betry pande zote, ila sijaona ilipoandikwa volt zake.
  11. CFO

    INAUZWA UPS used inauzwa bei rahisi sana

    sijaulizia kwa kweli.
  12. CFO

    INAUZWA UPS used inauzwa bei rahisi sana

    natoa 20% Discount bei mpya ni 20,000/= wahi sasa kabla sijafunga duka.
  13. CFO

    INAUZWA UPS used inauzwa bei rahisi sana

    bei : tshs 25,000/= napatikana : Dar es salaam kwa anae hitaji, ni pm.
Back
Top Bottom