Recent content by CEYLON

  1. CEYLON

    JamiiForums Tanzania Mikopo kwa njia ya simu kilio kipya kwa Watanzania

    Napitia machungu uliyopitia. Mkopo wangu umezuiwa kwa sababu ya deni la elfu 10 na kitu
  2. CEYLON

    JamiiForums Tanzania NAHITAJI MTU ANITENGENEZEE VITAMBULISHO ,(SOFT COPY)

    Nimekujib
  3. CEYLON

    JamiiForums Tanzania NAHITAJI MTU ANITENGENEZEE VITAMBULISHO ,(SOFT COPY)

    Bado
  4. CEYLON

    JamiiForums Tanzania NAHITAJI MTU ANITENGENEZEE VITAMBULISHO ,(SOFT COPY)

    Nimekujib boss
  5. CEYLON

    JamiiForums Tanzania NAHITAJI MTU ANITENGENEZEE VITAMBULISHO ,(SOFT COPY)

    Nahitaji mtu wa kunitengenezea vitambulisho 300 soft copy kwa hapa Dar.Aliye tayari anichek inbox tuelewane bei, nimtumie sample tufanye kazi.
  6. CEYLON

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mlevi wa kutazama vipindi vya wanyama ila huyu mnyama simpendi

    Hata mimi simpendi,wengine ni fisi,kinyonga na konokono
  7. CEYLON

    JamiiForums Tanzania Tuchanane: Mambo ambayo akifanya mtu aibu unaona wewe!

    Mwalimu kujamba mbele ya wanafunzi😆
  8. CEYLON

    JamiiForums Tanzania Tunauza vitabu vya shule mtalaa mpya

    Mnapatikana wapi? Naomba unitajie Title na waandishi wa Vitabu vya History ,Geography na General studies vya kidato cha 5 mtaala mpya mlivyo navyo pamoja na bei zake,navihitaji.
  9. CEYLON

    JamiiForums Tanzania Chumba changu kaingia nyoka sijui ameingia saa ngapi msaada

    Mmwagie mafuta ya taa au diesel
  10. CEYLON

    JamiiForums Tanzania Napata wapi viatu hivi kwa hapa Dar?

    Ok sawa
  11. CEYLON

    JamiiForums Tanzania Napata wapi viatu hivi kwa hapa Dar?

    Ok boss
  12. CEYLON

    JamiiForums Tanzania Napata wapi viatu hivi kwa hapa Dar?

    Aje fasta
  13. CEYLON

    JamiiForums Tanzania Napata wapi viatu hivi kwa hapa Dar?

    Ok
  14. CEYLON

    JamiiForums Tanzania Napata wapi viatu hivi kwa hapa Dar?

    Ahsante
  15. CEYLON

    JamiiForums Tanzania Napata wapi viatu hivi kwa hapa Dar?

    Habari?Nahitaji raba hizi pichani,mwenye kujua chimbo zinapopatikana anijulishe vinapopatikana.
Back
Top Bottom