Recent content by cericks

  1. C

    Why do I encourage Tanzanians to apply for this masters scholarship

    Masters scholarships for Tanzanians in Tech and other disciplines Going back for masters studies may sometimes requires extra courage especially if you are coming from a good earning job or you seems competent on what you are doing, It looks like you don’t need it? The decision may even not be...
  2. C

    More products can be explored by the growth of mobile technology in Tanzania

    Tanzania is among the countries in Africa with the fastest economic growth recording the highest economic growth in 2013 of up to 7.3 percent, according to Africa Development Bank, with the major drivers of the economy are information and communications, construction, and manufacturing. The...
  3. C

    Kama unafanya kazi kwenye IT tumia njia hizi kupanga mambo yako usilale ofisini

    Information Technology (IT) have various career paths one can choose to take. IT nowadays facilitating operations of many other sectors including banks, hospitals, etc IT Professionals needed to keep themselves updated with new knowledge every time, Otherwise they will find themselves unfit for...
  4. C

    Bado hatuna wataalamu wa uhakika wa kurecover data hapa nchini

    Tuliadvertise tender kwenye magazeti and that company we end up with ndio at least waliimpress kwenye presentation na CVs za experts wao although nap walikuja kuchemka
  5. C

    Bado hatuna wataalamu wa uhakika wa kurecover data hapa nchini

    Guys nimeweka example hapo, $7000 spent to buy softwares...Hizi issues me nakutana nazo sana, nitarepost incident nyingine as i come along with
  6. C

    Bado hatuna wataalamu wa uhakika wa kurecover data hapa nchini

    You can read one of my post here to understand my perception. I take it as business opportunity to invest, hivyo basi hata kama tunataka tutumie hizo software basi tufahamu kuzitumia vizuri to give user guarantee of recovery..What matter the data has been recovered haijalishi ni kwa njia zipi
  7. C

    Bado hatuna wataalamu wa uhakika wa kurecover data hapa nchini

    Narudia nia ya kuweka post hii hapa SIO YA KWAMBA NA WA-UNDERESTIMATE WATANZANIA bali nimeweka kama challenge to us all ambao ni wataalamu ama watumiaji, Mimi pia ni mtanzania na ni mtaalamu wa computer science. I faced that challenge tried to recover the data with some most mentioned softwares...
  8. C

    Bado hatuna wataalamu wa uhakika wa kurecover data hapa nchini

    User aliendelea kuitumia kwa matumizi yake binafsi...sababu iliyofanyaga aformat mara kwa mara ni kwamba hard disk ilikuwa inamsumbua kuna kipindi haionekani..wataalamu uchwara walikuwa wakimshauri kuformat then wakiirudishia inaonekana..ikafika kipindi waliformat bila kuback up data na maisha...
  9. C

    Bado hatuna wataalamu wa uhakika wa kurecover data hapa nchini

    The hdd imetumika and formatted more than onces, not sure how many...
  10. C

    Bado hatuna wataalamu wa uhakika wa kurecover data hapa nchini

    Na sio hao tu, kuna wengine walijitangaza sana clouds fm tukaenda ofisin kwao some weeks after searching for same help tukakuta walinzi tupu na baadhi ya wawakilishi wa makampuni waliokuja kudai data zao
  11. C

    Bado hatuna wataalamu wa uhakika wa kurecover data hapa nchini

    Nakubaliana na unachokisema kabisa dafity, Ni vile tatizo lilioriginate kutoka kwa user ambaye ni ni non-tech na hakuwa na uelewa wa kutosha on the potential of the data he deleted/formatted
  12. C

    Bado hatuna wataalamu wa uhakika wa kurecover data hapa nchini

    Mimi sina interests na kujua tools zinazotumika, nachokihitaji ni kurecover data with guarantee na ndio maana tulipopata huyo mtaalamu aliyorecommend tumnunulie tools flan flan ambazo yeye anaamini zinaweza kufanikisha hilo zoezi tulifanya hivyo at the end of the day hakuna...
  13. C

    Bado hatuna wataalamu wa uhakika wa kurecover data hapa nchini

    Guys mpaka nimepost hapa i did some simple research...kuna kampuni sitaitaja walituambia wanaweza kurecover some data tulizopoteza wakarecommend tuwanunulie some softwares ili wafanikishe hilo swala kwani softwares zilikuwa $7000 na walisema mtaji wao mdogo hawawezi kuinvest hiyo pesa ila wana...
Back
Top Bottom