Jerry Amuko Sese mtu mbaya sana
Ogopa sana ukutane na huyu mtu mjaluo halafu msabato halafu NI Cpl😂😂😂😂😂😂
Huyo yupo muda mefu sana hamjamkuta feo yule alikua ni Simba wa makuyuni
😂😂😂😂 Wewe Mwachiluwi nakujua kabisa Op makao? ukaenda mbweni?
li mbuyu ndiyo kila kitu angalia mfano kwenye vigezo cha umri kwa mtu wa elimu ya juu wakiwa wamemaanisha sijui stashahada, shahada na kuendeleea hakuna mwenye umri usio zidi miaka 27 mwenye shahada na amemaliza mkataba huu ni uongo, huyo mtu hayupo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.