Recent content by cencer09

  1. C

    JamiiForums Tanzania GE2015 If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's pray for him!

    Kwa hiya mapungufu ya katiba yanapotumika kukandamiza haki za kiraia na waliopo madarakani, watu waliouawa na kuporwa haki Zao wewe realist unapongeza nini hapo, mauaji ya raia yaliyofanyika na vyombo vya serikali? Unapongeza wizi wa kura? Unapongeza kuporwa mchakato wa kura? Au katiba iliyosema...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Hizi gharama za uwanja wa ndege Tanzania zinaakisi uchumi wa wananchi?

    Tanzania inaongoza kwa kutoza gharama kubwa ya kusafiri kwenye uwanja wa ndege duniani. Serikali imeongeza gharama hadi kufikia $45 na $90 kwa return ticket wakati nchi tajiri kama USA wanatoka $10, kitu cha ajabu sijasikia vijana wetu wakipongeza Mama kuupiga mwingi. Kabla ziliibuka tetesi za...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Ombi kwa Rais Samia: Japo wengi wape, wachache pia wasikilizwe, Hoja ya kufanya "minimum reforms" za Katiba ni hoja ya msingi sana kuliko hata Sheria!

    Kitendo tu cha kupongeza uovu badala ya kukemea inatia hofu ile dhamira iliyopo ndani ya Moyo wako. Hivi unaiba mchakato wa uchaguzi, unaiba kura wakati wa uchaguzi, unaua watu sababu ushindi uchaguzi kwa hila, badala ya kukemea uovu huu Ili taifa lipone wewe unapongeza hata kama utaweka...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Asante VP Bal. Dr. Nchimbi kwa Maneno Makubwa, ya Faraja na Matumaini Kuhusu Katiba. Unamsaidia Sana Rais na Utawasaidiwa Sana Watanzania Iwapo...!

    Unaweza ukajiona kuwa ni realist lakini maandishi yako mengi yanaakisi mtazamo wako ambao ni pro CCM. Nina mifano, mmojawapo ni baada ya uchaguzi wa 2024 ambao 98% ya wapinzani wa CCM walienguliwa ila wewe kuandika makala kuipongeza CCM kwa ushindi na kuwataka CHADEMA kukubaliana na matokeo...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Asante VP Bal. Dr. Nchimbi kwa Maneno Makubwa, ya Faraja na Matumaini Kuhusu Katiba. Unamsaidia Sana Rais na Utawasaidiwa Sana Watanzania Iwapo...!

    Hapo ndipo unapoonyesha rangi yako halisi, kwa jinsi polisi na mahakama zinavyoendeshwa nchini zinatoa haki? Kwa hiyo mamia ya wanachama wa CHADEMA walio mahakamani na wanaoendelea kufunguliwa KESI za ugaidi zimefunguliwa kwa haki? Rejea kesi aliyofunguliwa Mbowe ya ugaidi, iliishaje? Kwa hiyo...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Asante VP Bal. Dr. Nchimbi kwa Maneno Makubwa, ya Faraja na Matumaini Kuhusu Katiba. Unamsaidia Sana Rais na Utawasaidiwa Sana Watanzania Iwapo...!

    Tunaweza kufikia tume ya maridhiano wakati hizi tume tunaona siyo za kutafuta kweli bado ni kulazimisha makosa kwa wahanga na kuwasafisha wauaji na waliotoa amri ya kuua watanzania? Au nikuulize unaweza kwenda kwenye tume ya maridhiano bila CHADEMA na LISSU na muafaka wa kitaifa ukipatikana...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Asante VP Bal. Dr. Nchimbi kwa Maneno Makubwa, ya Faraja na Matumaini Kuhusu Katiba. Unamsaidia Sana Rais na Utawasaidiwa Sana Watanzania Iwapo...!

    Hapa Pascal with due respect ulichozungumza hakina afya ya ustawi wa taifa letu zaidi ya uchawa wa kumpamba na kumsifia mtuhumiwa mkubwa aliyekataa minimum reforms Ili twende kwenye uchaguzi tukiwa sawa. Utaweza kupata muafaka wa kuanza maridhiano kuelekea katiba mpya wakati kiongozi mkuu wa...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Asante VP Bal. Dr. Nchimbi kwa Maneno Makubwa, ya Faraja na Matumaini Kuhusu Katiba. Unamsaidia Sana Rais na Utawasaidiwa Sana Watanzania Iwapo...!

    Mnatumikia matumbo yenu, hamuangalii taifa na maslahi ya TANZANIA. Uchawa na ujinga umetawala akili zenu za kisoda, Hawa wanaodhulumiwa haki Zao za kuishi, kuongoza na kuchagua hamuoni jinsi linavyogharimu Amani ya taifa. Mko tayari kuua Ili mradi mpore uongozi
  9. C

    JamiiForums Tanzania Asante VP Bal. Dr. Nchimbi kwa Maneno Makubwa, ya Faraja na Matumaini Kuhusu Katiba. Unamsaidia Sana Rais na Utawasaidiwa Sana Watanzania Iwapo...!

    Dhamira ya katiba mpya kwa watawala IPO? Kama ipo, hizi tume mfano ya jaji Chande ilikuwa na dhamira nzuri? Namaanisha kwa wananchi na wahanga wa mauaji ya Oct 29? Hii ya sasa ambayo ni kuwachunguza walioshambuliwa na kuuliwa kama wana makosa lakini waliotoa amri ya kuua kutochunguzwa, italeta...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Asante VP Bal. Dr. Nchimbi kwa Maneno Makubwa, ya Faraja na Matumaini Kuhusu Katiba. Unamsaidia Sana Rais na Utawasaidiwa Sana Watanzania Iwapo...!

    Hakuna wapuuzi kama machawa wa CCM, nikiwa primary school 1971 pale ilala BOMA tulikuwa tunaimbishwa na kukaririshwa haya maneno. Leo bado kuna majuha mnaimba lugha ya mabeberu, vibaraka na mabwanyenye kuwaita kila anayepingana na IDI Amin Mama, dikteta was kwanza Afrika mwanamke, yaani hili ni...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Asante VP Bal. Dr. Nchimbi kwa Maneno Makubwa, ya Faraja na Matumaini Kuhusu Katiba. Unamsaidia Sana Rais na Utawasaidiwa Sana Watanzania Iwapo...!

    Paskali umemalizia kwa kusema katiba mpya inakuja. Siku 100 za ahadi ya kuanza mchakato zimepita, na kuna tume baada ya tume zipi na zinatarajiwa kuwepo, swali langu katiba mpya inakuja kwa timeline ile ile au nyingine? Sincerely unaiona katiba mpya anytime soon?
  12. C

    JamiiForums Tanzania Asante VP Bal. Dr. Nchimbi kwa Maneno Makubwa, ya Faraja na Matumaini Kuhusu Katiba. Unamsaidia Sana Rais na Utawasaidiwa Sana Watanzania Iwapo...!

    Few moments later, Nchimbi afukuzwa uanachama wa CCM, je ulimtetea au kama kawaida ya machawa ukajiunga na mlipa hela kumshambulia Nchimbi ?
  13. C

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Maridhiano ya Kitaifa: Ni baina ya nani na nani?

    As united country, nimeipenda sana hii. It is as united as Samia and Nchimbi
  14. C

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Maridhiano ya Kitaifa: Ni baina ya nani na nani?

    Mkuu kudeal na maccm inahitaji vitu vikubwa viwili, uwe juha Ili usitumie akili kufikiria kama machawa au uchanganyikiwa kama wewe. Walijua itakuwa business as usual, watapora, wataiba uchaguzi halafu CHADEMA wakipiga kelele watalobby baadhi ya viongozi wa CHADEMA, watafanya mazungumzo kisha...
  15. C

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Maridhiano ya Kitaifa: Ni baina ya nani na nani?

    Hayahusiani na wale walioandaa maandamano ya kuchoma vitu kupinga ushindi wenu halali wa asilimia 98?
Back
Top Bottom