Kilimo kwanza ilikuwa ni sera namba moja ya wachumi wa kikoloni. Walipofika walianza na kilimo kwanza kabla ya elimu .Wakaleta mazao kama mahindi,maharage,mpunga,chai,kahawa,pamba,karafuu nk mazao ambayo hayakuwepo Tanzania.watanzania .Mazao hayo yalipoletwa na wachumi wa kikoloni yalikomboa...