Pamoja na kuwa wenzetu wa chadema kutwa hawalali wako bize kutafuta habari zinazovuruga nchi yetu,mie niko hapa kuwashukuru maraisi wetu watatu walioleta maendeleo Tanzania.
1) Mh raisi Mwinyi
2)Mh raisi Mkapa
3)Mh raisi Kikwete
Najua wengine mnajiuliza kwanini sijamtaja mwalimu,lakini ukweli ni...
UMEONA EE THESE PEOPLE THEY DON DESERVE ANYTHING OTHER THAN UBABAISHAJI TU
I HATE CHADEMA FOR REALL NA IKITOKEA WAKAINGIA MADARAKANI SIRUDI TANZANIA:second:
:A S cry::A S cry: NASIKITIKA KUONA MNAPEWA ELIMU LAKINI AMUITUMII NA MNAZIDI KUPOTEA,SERIKARI ILIOKO MADARAKANI IMEKUFANYA WEWE LEO UNATUMIA HII WEBSITE KUTOA MAWAZO YAKO FINYU,SO BILA TECHNOLOGY ILIOLETWA NA SERIKARI YETU BADO TUNGEKUWA TUNAISHI KAMA ABLIGINO IN AUSTRALIA,HAMUYAONI MAZURI KAZI...
Sihoni haja ya kujibizana na mtu ambae hajaelewa nilichokiangika,nasema ivi sawa ccm inamabaya lakini mengi ni mazuri naomba unioneshe mazuri ya cdm japo mawili tu then mie nikuoneshe 200 ya ccm
tatizo mnalinganisha ccm ilipochukua madaraka enzi zile za mwalimu pindi nchi haina chochote na ccm...
maskini we ndo huna unalolijua ndo maana nasema chadema people don go with fact,kumbe hujui hata chama chako kinapata kiasi gani kutoka serikarini kama chama pinzani kuendeleza democracy,hujui kuwa inawafadhili wangapi,hujui wabunge wa chadema hupewa sh ngapi kwa ajili ya mikoa yao namamilioni...
Kwanini wafuasi wengi (wanachama wa chadema) wanapenda kuona negativity in everything?????.hawana lililozuri kwao,guys hata kama mtu anatabia mbaya anayake mazuri pia. u knw this make me think that wafuasi wengi wa chadema
1)ni wanafuata mkumbo
2)wengi wao akili zao sio nzuri hawana uwezo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.