Miaka kama kumi iliyopita nilitembelea wilaya moja mkoani Mwanza, nilikuwa nikitoka mkoa fulani kuelekea huko kwenye hiyo Halimashauri, Sababu nilikuwa na shida ya kuonana na DED wa wilaya hiyo.
Siku iliyofuata baada ya kulala jijini Mwanza ilinibidi niliondoka asubuhi mapema ili kuwahi kufika...
"Pakawa, "]
Wengi wao wanafanana
Wana kawaida ya kuja na kigezo cha wokovu mishida yao mingiii uwaonee huruma lakini ni mbwa mwitu
Afadhali mlevi kuliko hawa wa kujifanya wanamjua Mungu ni walaghai
Follow your instincts
Ni bora kuwa mwenyewe kuliko kujipa stress
Oooh! mbona mkuu kama wasitarabu...
Unadanganya, kwani ukimtafuta kila cku wewe shida ipo wapi? stress zingine huwa majipa ninyi wenyewe wanawake, kikubwa uwe na uhakika anakupenda, na ifahamike kuwa upendo haupimwi kwa nani kaanza kumtumia mwenake text.
kumuka naweza kukutumia na kukupigia cm Zaidi ya hata mara20 still bado nina...
"tumbayz, "]
Kwenye kula binamu inategemea kabila na mila kuna baadhi ya makabila mtu anamuoa/ kuolewa na binamu ila kwa baadhi kula binamu ni laana kubwa sana.
["Kitangiri15, "]
Aaah aaah naona ulivyokula wa kibara plan yako ilikuwa kula tena kijiji gani? Busambara, namhula au nansimo
Mkuu kwa wamama wa kibara jamaa ndo aliliwa kimasihara coz wanapenda sana vijana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.