Ni sahihi lakini mfumo wa utawala wa Urusi & Chechnya, ulioupa uhuru mkubwa wa mambo yake ya ndani Chechnya, umewafanya kwa miaka mingi wawe Ok kuwa chini ya Utawala wa Urusi.
Salaam!
Kupitia ukarasa wake wa Twitter, Makamu Mwenyekiti wa baraza la Usalama la Urusi na aliyepata kuwa Rais mwaka 2008 hadi 2012 na Waziri mkuu wa Urusi mwaka 2012 hadi 2020, Dimitri Medvedev, ametoa ubashiri wa mambo yafuatayo kuwa yatatokea 2023.
1. Oil price will rise to $150 a barrel...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.