Recent content by Cauldron

  1. Cauldron

    Kajipost mtandaoni akiwa na mwanaume ambae nina mahusiano naye. Anamaanisha nini?

    Huyo mpaka anakutafuta wewe, jua mahusiano yake na mwanaume wenu yapo hatua za mwisho. Anachofanya ni kukuchochea wewe upanick uanzishe vurugu kwa mwanaume. Tulia kama hujui kinachotokea ila atakuja kukuita wewe mchawi unamroga kisa tu mission ya kukuvurugq haijafanikiwa
  2. Cauldron

    Hivi wanawake wa kihangaza kutoka Ngara Kagera wana tabia gani?

    Hivi kuna kabila Tz ambalo halina ulozi?
  3. Cauldron

    Nahitaji mwanangu aende kuitikisa Talent Show tutayohudhuria wazazi, Aimbe wimbo gani wa kiingereza Hiphop usio na matusi tuanze mazoezi ?

    Basi wapo tofauti wangu toka anazaliwa anausikia I KNOW I CAN now ana 8years old na anuimba wote na ni wa kike, kukiwa na Talent show shuleni kwao anauimba huo!
  4. Cauldron

    Wanaume mna moto wa peke yenu. Siamini!

    Kumbe fridge lake haligandishi?
  5. Cauldron

    Uthibitisho mishangazi imeanza kupendwa kitambo; mikasi ya ngwea

    Kupendwa kwa mishangazi imeanza zamani sana toka miaka hiyo, uthibitisho ni Nyambizi yake Dully Sykes "Nyambizi nakupenda japo mkubwa Mateso unayonipa ni makubwa Naomba unielewe wangu mchumba"
  6. Cauldron

    Ni maamuzi yapi anatakiwa Kuya fanya Kati ya kumuacha moja kwa moja au kurudiana nae Tena?

    Ana mimba ya x wake, na x kaikataa akaona bora amrudie mumewe. Mshauri jamaa yako ampime mimba na ukimwi mengine yafuate
  7. Cauldron

    Haya malalamiko ya sijui sasa hivi sasa wanaume hawaendi zaidi ya bao tatu mmeyasikia ndugu zangu?

    Naas Akoo, maoni yangu ni kwamba wanaume wamekinai kisa mizinga
  8. Cauldron

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Brother, wanawake wanapenda sana wanaume machachari wenye tabia za uhuni uhuni na wenye misimamo. Wanaojua kuitafuta hela.
  9. Cauldron

    Life style yangu ilinipotezea mwanamke mzuri

    Hatari sana, mzee una nyota ya mishangazi
  10. Cauldron

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    1 people are here, jumamosi imepita na sasa ni jumapili 13:13
  11. Cauldron

    Zikipita siku 3 tu sijamgusa Kiburi, Hasira na mizozo inaanzaa!

    Usiwaze, akibeba mimba na kuzaa hayo yataisha. Ila hutakiwi kumkinai, miaka mitatu ya mwanzo ya ndoa mwanamke apewe ukuni mpaka ajue kuwa hakuolewa Kuja kulala. Punguza uvivu, mwenzio anataka mimba huyo.
  12. Cauldron

    Ili awe Mshangazi anapaswa kuwa na umri gani?

    Lishangazi lazima liwe na 3T yaani Titi kubwaa, Tako kubwaa, Tumbo kubwaaa pia awe na mihelaaa
Back
Top Bottom