Jamani tuache kudanganyana basi na kurushana roho ,ooh mara nimesikia zinatoka leo mara hazina haina hela,mara mwezi wa saba,jamani kama huna uhakika na taarifa zako kaa kimya kuliko kudanganya vijana wenzako waliochoka kuzisubiri hizo ajira. Tuwe watu wazima na tujadili mambo ya msingi nini...
Revolution, revolution revolution
for changes.
Tanzania bila maandano............haiwezekani
jamani waaalimu wote dar andamaneni mkadai haki yenu.
Me nawasapoti 100% andamana hadi kieleweke si walisema january leo ni february.
Maaandamano kwanza ............. Afu mgomo utafata........
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.