Kwa hiyo uzee siku hizi unaanzia 40?!
Anyways, vijana wadogo wa 20years hadi 30 wananiita dogo! Kwasababu naonekana mdogo, wao wamezeeka[emoji1].
Watu wakiambiwa lifestyle inachangia afya yako ya akili na mwili pia, wanasema mbona babu zao walikunywa sana pombe hadi wanafikisha 80/90years...
Kulikuwa na bado kuna umakusudi wa serikali kutelekeza miji yote ya kanda ya ziwa! Utajiri wa kila aina uliojaa kanda ya ziwa na idadi kubwa ya watu kuwa huko kunawapa serikali hofu kwamba wakipaendeleza huenda miji /mikoa mingine ikabaki tupu.
Mwanza mathalani, ni jiji la pili kwa ukubwa kwa...
Tuelewane: ya bandari hayajaisha,tunawasubiria kwa wakati sahihi!. Pili, hawezi kusema kabila lake ni "mzanzibari wakati ni rais wa nchi ya Tanzania" Tafsiri yake ni kwamba Zanzibari inatawala Tanganyika na Tanzania.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.