Recent content by Catholic Apologist

  1. Catholic Apologist

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya Bible App Kanisani na mitazamo hasi

    Inategemea na mazingira hivyo kila Paroko anaweza kuangalia faida na hasara zake. Kwa maeneo ya mijini si tatizo kama mtumiaji anajua masharti ya matumizi yake lakini maeneo ya vijijini inaweza kuwa distraction kwa waamini wengine. Hebu fikiria upo nyambutungi kijijini alafu unaenda na ipad...
Back
Top Bottom