Mwaka wetu huu hadi kujuta na hamu ya kusoma yote inaisha maan mbele kiza kila sku afadhari ya uwamuzi wa jana ni kuchanganywa kisaikolojia tu hapa ni kubuluzwa hamna ktu
Maelfu ya watu wanaendelea kuandamana katika mitaa mbalimbali ya mji mkuu wa Seoul,Korea kusini kwa wiki ya pili mfululizo wakimtaka Raisi wa nchi hiyo,Park Geun Hye ajiuzulu.
Maandamano ya jana yalitarajiwa kuwa makubwa zaidi yaliyowahi kutokea huku viongozi wa maandamano hayo wamesema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.