Recent content by casampeda

  1. C

    JamiiForums Tanzania Natamani Mungu airejeshe Tanganyika kama alivyoiumba ili tuijenge upya kwa pamoja

    Mungu aliumba dunia,wazungu wakaigawagawa vipandevipande Afrika,tatizo lako unatafuta mchawi fanya kazi,Kenya Afrika kusini wana katiba mzuri.lkn uufisadi mtupu.tatizo rangi ya ngozi yetu.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Kinana akerwa na Utitiri wa Traffic barabarani. Atoa maagizo mazito kwa Afande IGP Camilius Wambura

    Hayo Maneno ya kichokochoko yalioazishwa na Mchungaji Msigigwa Bungeni ,alipofikishwa Mahakamani na Kinana aliomba radhi.
  3. C

    JamiiForums Tanzania Pascal Mayalla Mzee wa makala za "Kwa maslahi ya Taifa", mbona uko kimya bei ya sembe imefika 1,800/- kwa kilo

    Swala la ughali wa maisha na kupanda bidhaa ni la kimataifa,fwatilia habari za kimataifa pia bei juu sembe faida kwa wakulima.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Kwa hali hii ya uwingi wa majeshi huko Loliondo kwanini Serikali isitangaze hali ya hatari?!

    Hujui kama kuna asikari aliuwawa wakati akitimiza majukumu yake!kwahiyo acha asikari wetu watulinde.
  5. C

    JamiiForums Tanzania Mdee: Sitishwi na mbwa ninaowafuga

    Mdee kichwa sana,hata Mnyika mwanzo alikataa kujiunga na chama mpaka Zito na Mdee kumbembeleza sana.
  6. C

    JamiiForums Tanzania Acheni kupotosha. Hawa bado ni wabunge wa Chadema mahakama bado haijaamua. Hakuna uamuzi wa mahakama uliowabatilisha.

    Ni wabunge halali wa CDM,na Mbowe anajua kila kitu
  7. C

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wachemka tena, wapeleka barua ya hukumu kusiko

    CDM wana chekesha sana
  8. C

    JamiiForums Tanzania TRA koma kuwadai wafanyabiashara Kodi za miaka ya nyuma except mwaka jana tu

    Kwakweli MAMA anapiga mabao huku akikimbia,hongera MAMA!
  9. C

    JamiiForums Tanzania Sisi watumishi wa umma tutasimama na mama 2025

    Kuna ubaya gani?zamani tukiongea lazima tugeukegeuke kwa jofu na woga
  10. C

    JamiiForums Tanzania CAG akabidhi ripoti ya wakwapuaji pesa za umma Takukuru

    Safi sana
  11. C

    JamiiForums Tanzania Mara ghafla Mbowe, Mnyika, Lissu na Heche wasimamishwa uongozi Chadema, msajili aridhia

    Madai yakijinga sana,wakati munawafukuza wakinaMdee mulimuita Kaimu msajili,sasa alivyoitwa NCCR kunaubaya gani?au kwa sababu atia Mbatia!
  12. C

    JamiiForums Tanzania Bi Khadija: Mwalimu wa English na Hesabu na majukumu ya tume ya utumishi wa umma!

    Kama miaka hiyo ya 70 alikuwa ana fundisha seekondari basi atakuwa msomi mzuri tu
Back
Top Bottom