Wapendwa Wana jamii.
Napenda kuwatangazia kuwa ninauza mashine mpya kabisa(Brand new) na ya kisasa ya kusafisha mazao ya nafaka kama Ufuta,mbaazi,Choroko,kunde,maharage,nk.inauwezo wa kusafisha Tani 5 kwa saa.
Bei ni Tshs 35,000,000(Milioni thelathini matano) Negotiable.
Serious buyer only...