Nachojua mimi wanakupa muda wa kuimprove, wanakitu kinaitwa nyota kwa shule ya Alfagems, akishindwa kutoka huko anaondolewa kwa sababu ya kutobadilika kwake. Pia watoto wetu wa sasa tumewalea kimayai mno wanatabia za ajabu sana unataka hata pale anapoonywa na kutobadilika aendelee kufugwa? Zipo...
Ni kinyume na utaratibu, na wanafanya kukuibia haki zako nyingi tu. Mimi nimewahi fanya kwenye mfumo huo, mshahara ulikuwa ukigawanywa mara 2 kwa mwezi, tarehe 15 inatoka bila makato ya aina yeyote na ile ya 30 ndo inakatwa, ya tarehe 30 ni ndogo kuliko ya tarehe 15 hivyo unajikuta NSSF kiwango...
Kwann pia jimbo la mikumi madiwan wengi ni ccm na mbunge ni cdm?
Hilo la segerea usijitoe ufahamu,kura za upinzan waligawana. Lait angesimamishwa mgombea mmoja wa ukawa jimbo lilikuwa mikononi mwenu,sawa na Mtama jimbo la nape,cuf walisimamisha mgombea halikadhalika na cdm
Hivi kuna unafiki mkubwa uliowahi tokea tanzania kama wa upinzani kumtangaza Lowassa Fisadi,na baadaye wakameza matapishi yao? Its better mkafunga midomo yenu isiyojua kuchambua jema na baya na kuvuta subira uone baraza lake litafanya yepi kwa taifa letu
Inaonekana ktk maisha yako hujawahi tenda kosa hata mara moja. Hakuna mkamilifu na daima kumbuka ngoma inaweza kuwa ileile ila uchezaji ukawa tofauti. Jifunze kuwa na subira
Tatizo tunafikiria ndani ya box na si nje ya box,yes mabadiliko sio lazima yaje na sura ngeni,bali moyo wa kujituma na uongozi bora ikiwemo uwajibikaji. Magufuli si chizi,anajua nn anafanya. Yes ngoma ni ileile na mdundo ni uleule sema uchezaji ni tofauti
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.