Mwenyewe saa hizi kazima simu kazima data kalala wanaoumia ni viongozi wenzake wa CHADEMA na wafuasi wahafidhina wa CHADEMA.
Si tulikubaliana mtu asisumbuliwe akitumia haki yake ya kikatiba?
Bado kuna taarifa zilizagaa kwamba Chair na Makamu wake haziivi, jumlisha na Pesa chafu ...... Wakapanda Helicopter wakajirekodi.
Tukasikia makamu katoroka mikutano wakatuzuga af huyo Msigwa ndio alikuwa upande wa makamu Mwenyekiti.
Hadi hiki chama kifikishe miaka 50 viongozi wote watabaki kambi...
KUWEKEZA KWA WALIMU WA MASOMO YA SAYANSI NA HISABATI ILI KUFANYA MAPINDUZI YA SAYANSI.
Kufanya mapinduzi ya Sayansi na teknolojia serikali inapaswa kuwekeza kwa Walimu wa masomo ya Sayansi na Hisabati ili kuongeza msukumo na kuendana na kasi ya dunia kwenye matumizi ya sayansi na teknolojia...
KIKOSI MAALUMU CHA UFUATILIAJI NA UTEKELEZAJI.
Serikali iunde kikosi maalum cha kufuatilia utekelezaji na uwajibikaji wa watumishi serikalini na sekta binafsi. Kutokana na watanzania wengi kuwa wavivu na kutokuwajibika ipasavyo katika majukumu Yao, mifano michache ni kipindi cha awamu ya tano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.