Recent content by Carl kim

  1. C

    JamiiForums Tanzania CPA reveiw classes Tanga.

    Habari wadau, Ningependa kujua kama Tanga kuna kituo cha kufanya reveiw classes za mitihani ya CPA, kiko wapi na wanachaji kiasi gani? shukrani.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, unda tume kuchunguza NBAA!

    :nono:mtu anaposema CPA ya nini ni Ishara mojawapo kuwa anajiamini anaweza kufanikiwa katika lolote analolifanya bila ya kuwa na CPA, EITHER KAZI YA UHASIBU OR BUSINESS RELATED BILA YA KUWA NA HIYO CPA, KWA HIYO AMEAMUA KU-MOVE ON SABABU AMEONA CPA ITAMPOTEZEA MUDA NA WAKATI. MTU WA AINA HII...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, unda tume kuchunguza NBAA!

    inaonekana we ni msomi lakini bado ni mtumwa wa usomi wako, nani kakwambia lazima niwe practising accountant? wakati nimegundua field nyingine katika business na commerce kwa ujumla ambazo ni more exciting na challenging na zina-mpa mtu upeo mpana zaidi kuliko hiyo mitihani ya CPA. sijasoma...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, unda tume kuchunguza NBAA!

    wajinga ndio wanadhani CPA ndio maisha, wajinga ndio wanaringia CPA huku wakipewa wasolve real accounting problems wanashindwa. nina bcom yangu nzuri ya acc nafikiri nahitaji kuendelea kufanya kazi kwa muda nipate uzoefu huku nikipata mshahra mzuri tu, nikitaka kujiendeleza nitasoma MBA na sio...
Back
Top Bottom