Wahindi na waarabu ni wezi na mafisadi,wanapokuwa ccm hawalipi kodi na wanaingiza vitu vya magendo na hata madawa ya kulevya hawakamatwi,kwani wanajua penye udhia penyeza rupia vitu ambavyo ni jadi ya ccm,wakiingia upinzani hawataiba maana huko hakuna wezi,wezi na mafisadi nchi hii ni...
[QUwOTE=MUSSA ALLAN;11665529]Haya ndio matokeo ya kutokutii sheria.
Inasikitisha sana kuona wasomi badala ya kuwa mfano kwa Raia wengine wao ndio wanakuwa vinara wa kuhamasisha fujo.
Hata hivyo poleni sana, Hauna majonzi msiba wa kujitakia!
wewe ni mshenzi sana,huna kabisa akili!unataka...
Kwani watanzania ni wajinga kiasi gani mpaka waendelee kuichagua ccm?zama za uijnga zimeshapita ndugu,watanzania wengi hivi sasa wanajitambua,mtaji wa ccm ulikuwa ni uijnga wa watz,kwasasa mtaji umeisha.
Kwa maana hiyo rais wa JMTZ hatambuliki Zanzibar na yeye amekubaliana na hilo,ni vigumu sana kwa rais kukubali kuwa rais wa upande mmoja tu,sasa je kuna Siri gani hapa?inakuwaje nchi ziungane kisha nchi nyingine isimtambue rais wa muungano?hapa kuna siri kubwa wa Tz tumefichwa.
Hakuna ambalo wewe hulijui,ilakwasababu ya kupumbazwa na ushabiki wa kisiasa hata baya linalofanywa na ccm kwako ni zuri tu,una upofu wa macho na wa kiakili.
Chabruma kuwa mzalendo,ni raslimali ngapi katika nchi hii zinatumika kwa manufaa ya wachache?kwanini kilatuhuma huwa a mnaitetea?ila ujue kuwa tuhuma nyingi huwa mnazipinga na zote huwa za kweli,utaumbuka chabruma,anyway siku hizi umeacha kumponda lowasa?
Kutokana na chama tawala ccm kushinda kila chaguzi kwa mabavu,kumefanya wananchi kuamua kuwakataa kwa nguvu,hii imejidhihirisha katika matukio kadhaa ya kuzuiwa kwa wenyeviti wa mitaa wa ccm kuapishwa katika miji ya dar es salaam na mororgoro,wenyeviti hao wanadaiwa kushindwa katika uchaguzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.