Unawezaje kuongoza taifa wakati umeshindwa kuongoza familia yako, kazi kudandia wake za watu heri hata umeumbuka mapema, tengeneza ya nyumbani kwako kwanza ndipo uje kwa watu.
Taarifa yoyote bila uthibitisho in porojo za mitaani, ndo unachokifanya wewe, afya haipimwi kwa maandishi, labda nikukumbushe tu kuwa hata wakati wa bunge la katiba mpya wako waliosema Jaji warioba amebakiza siku chache ya kuishi duniani mojawapo ya aliyesema hayo ni Komba ambayo sasa alishakufa...
Hiyo ni propaganda tu, na tukumbuke hata mfa maji haachi kutapatapa zaidi kura ndiyo itakayo amua pia usisahau ukubwa wa pua si uwingi wa makamasi hivyo kuwa na wanachama wengi haimanisha utapata kura nyingi la! hasha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.