Recent content by CaramelButterfly

  1. CaramelButterfly

    JamiiForums Tanzania KERO Maslahi ya Watumishi wa Kampuni ya ulinzi ya GARDA WORLD ni duni

    Habari mimi kero yangu ni kuhusu Kampuni ya ulinzi ya Gardaworld Security Tanzania kama inavyofahamika, Mwaka 2025 Serikali ilipandisha kima cha chini cha mshahara kwa makampuni makubwa ya ulinzi ikiwemo kwetu. Ilitakiwa kuanzia Januari 2026 waanze kulipa kwa maslahi mapya, ambapo baadhi ya...
  2. CaramelButterfly

    JamiiForums Tanzania DSTV Tumechoka Simu za Marketing

    Mimi ni miongoni wa wakereketwa kutokana na hizi simu za marketing za DSTV. Wamekuja na njia mpya ya kupigia watu simu kwa namba tofauti tofauti binafsi. Kama mtu hajalipia kifurishi kwa muda mrefu lazima ana sababu binafsi na kama ana shida pia atawatafuta kwa namba zenu za mawasiliano ya...
Back
Top Bottom