Recent content by Captainova

  1. C

    JamiiForums Tanzania Jifunze kilimo cha nyanya

    Ndio mkuu, zipo nyingi kutoka makampuni tofauti. Mf. Busta zote ni mbolea za juu(fortified liquid fertilisers) na hutofautiana pia ubora. Tumia wuxal, Tanzanite, supergro, Vegimax. Au rich in calcium mf. Calcium match
  2. C

    JamiiForums Tanzania Jifunze kilimo cha nyanya

    Hapa kuna Calcium deficiency ama Kutokana na Joto, umwagiliaji wako wa maji haujaMeet demand ya Miche yako, Hivyo, Jitahidi kwenye routine ya maji lakini pia Piga mbolea ya juu ambayo ni rich in micro elements particularly Calcium kama Wuxal ambayo ni excellent sana. Na mbolea ya chini tumia...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Jifunze kilimo cha nyanya

    Na dawa yake ni ipi
  4. C

    JamiiForums Tanzania Jifunze kilimo cha nyanya

    Shukrani sana mkubwa
  5. C

    JamiiForums Tanzania Jifunze kilimo cha nyanya

    Mkuu naomba niPM namba yako
  6. C

    JamiiForums Tanzania Jifunze kilimo cha nyanya

    Hii inasababishwa na nini wakuu
  7. C

    JamiiForums Tanzania Jifunze kilimo cha nyanya

  8. C

    JamiiForums Tanzania Jifunze kilimo cha nyanya

    the horticulturist na Yumbayumba naombeni namba za simu please. Nipo Arusha
Back
Top Bottom