Recent content by Captainkenya mvita

  1. Captainkenya mvita

    Nashindwa kujielewa ni mimi tu 'nisiyependa kujichanganya na watu' au kuna wenzangu wapo hivi? Msaada tafadhali

    Dada nimekusoma,tatizo lako we we una low esteem,au utakua una bipolar dis order.Au huenda ukawa ulipitia wakati mgumu wakati wa nyuma,hivyo kuna jambo lina ku hunt.ukiwa una low esteem hua unakua na wasi wasi uwapo around watu wengi au unahisi hauko comfortable ukiwa na mtu.ukiwa na bipolar...
  2. Captainkenya mvita

    Ukweli kuhusu ugaidi

    Ugaidi ni miongoni mwa majanga makubwa yanayo ikumba dunia hivi sasa.Na cha kusikitisha zaidi ni kua janga hili limeambatanishwa na dini na kila tendo la kigaidi litokeapo,hufungamanishwa na dini hasa uislamu. Amini nawaambieni,mtu yeyote anaweza kufanikisha azma yake yoyote,iwapo kutakuwepo na...
  3. Captainkenya mvita

    Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu

    Pain is like fabric,the stronger it is the more it's worth
  4. Captainkenya mvita

    Ifahamu "Nyota" Katika uhalisia wake

    Habari zenu wakuu.Natumai nyote muwazima.Mimi ni mgeni hapa,na hii bila shaka itakua ndio thread yangu ya kwanza. Natumai nyote munafahamu kuhusu maasala ya nyota.Naam,sio nyota za angani bali nyota kama uwezo au nguvu Fulani za kibinadamu.Au mushawahi kusikia mchawi anaifunga nyota ya...
Back
Top Bottom