Recent content by Captain Jangs

  1. Captain Jangs

    Hivi unawezaje kudeal na mwanamke mwenye dharau, majivuno, kiburi na kujisikia akiwa kama mwanamke wako?

    Daa apo kwenye akikusoma akijua umejaa apo ndo balaa zito lazima akuue kama hutaondoka mapema
  2. Captain Jangs

    Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Jamn nafas za 😅 baba kanisend (2000) + kugombania (3,000) =5,000 au kugombania 3,000-kanisend( 2000) =1000😅 Apa mungu kwanza mengine hayabihusu 💪
  3. Captain Jangs

    Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Pdf pdf ndy tunachosubir yn pdf😴😴
  4. Captain Jangs

    Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Nikifika uko Salam zimefika bro
  5. Captain Jangs

    Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Jamani Mungu nibariki mimi jina langu Liwepo Aaamina🙏
  6. Captain Jangs

    Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Ni kwamba official information kuwa sio Leo Tena had sherehe ziishe ? Au still anytime from now inaweza pdf kutoka 🙏
  7. Captain Jangs

    Jinsi ya kumfanya Mwanamke akuheshimu pasipo kumshurutisha

    Fact, iko hivi heshima ya Mwanamke utaipata ikiwa utafanya yafuatayo; 1. Muheshimu 2. Pesa uwe nazo lakini zitumie vizuri namaanisha kwa malengo na sio ufujaji mfano huna kiwanja unahonga gari, huna kitanda unahonga laki Moja atakuona huna akili 3. Mnunulie zawadi lakini sio za gharama kubwa ila...
  8. Captain Jangs

    Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Ni ugonjwa wa mda mfupi au upofu WA kidum ndo unaangaliwa
  9. Captain Jangs

    Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Me nataka kujua kuna kipimo cha macho????? Please nisaidieni
Back
Top Bottom