Recent content by captain 21

  1. captain 21

    JamiiForums Tanzania HOJA Kuchelewa kwa mchakato wa usaili wa nafasi za ajira za Utumishi wa Umma husababishwa na nini hasa?

    Pia majibu ya Oral, tunaomba wawe wanatoa majibu ya oral mtu unajikongoja unaingia oral mbili lakini kila placement zikitoka huoni jina, unashindwa kujua unakosea wapi na kwa kiwango gani?
  2. captain 21

    JamiiForums Tanzania Utumishi Niliingia Oral Interview Lakini Bado Sioni Jina

    Vipi mkuu ulibahatika kupata placement?
  3. captain 21

    JamiiForums Tanzania Wakuu, kati ufaulu wa Written interview na Oral Interview ipi Wana consider sana wakati wa placement prioritization?

    Mkuu nadhani ulifika Oral, vipi ulifanikiwa kupata placement?
  4. captain 21

    JamiiForums Tanzania Wakuu, kati ufaulu wa Written interview na Oral Interview ipi Wana consider sana wakati wa placement prioritization?

    Mkuu vipi kwenye hiyo Oral ya kwanza ulifanikiwa kupata placement?
  5. captain 21

    JamiiForums Tanzania Hivi neno NOT SELECTED kwenye ajira portal hata watoto wa wakubwa linawahusu ?

    Niwamewapiga 80 paper kama mbili za utumishi lkn wapi NOT SELECTED, Lakini nashushukuru MUNGU sikukata tamaa kuna paper mbili hizi niliziotea moja nilipiga 55 nyingine 70 nikawa SELECTED oral interview muhimu ni kutokata tamaa na kupambana
  6. captain 21

    JamiiForums Tanzania Kalenda Mpya ya Minada ya Dhamana za Serikali Yatolewa: Fursa kwa Wewe Mwekezaji!

    Hizi ishu za account management wengi wamepigwa wakaishia kusema forex ni utapeli. Ushauri wangu jifunze kutrade wewe, kama unahisi unamambo mengi huwezi kusoma ni heri hiyo pesa yako ukawekeze sehemu nyingi
  7. captain 21

    JamiiForums Tanzania Msaada: Uraia wa Kurithi na Changamoto na Mfumo wa Ajira Portal

    Kwa msaada zaidi wapigie simu au nenda HQ zao
  8. captain 21

    JamiiForums Tanzania Usahili wa Kuandika, Wizara ya Mambo ya Nje

    Mambo vipi wakuu!? Kwa yeyote ambae ameshawahi kufanya usahili wa kuandika Wizara ya Mambo ya Nje (Foreign Service Officer), maswali yao huwa yanatoka maeneo gani??
  9. captain 21

    JamiiForums Tanzania KERO Mfumo wa Ajira unawakataa waliosoma kozi ya Development Finance & Investment Planning

    Kama ishu ni kuitwa kwenye interview mbona hata government wanaita tena saana tu, au wenzetu huwa hamuitwi?
  10. captain 21

    JamiiForums Tanzania KERO Mfumo wa Ajira unawakataa waliosoma kozi ya Development Finance & Investment Planning

    Hakuna kitu kama hicho mkuu, kozi yeyote inayotolewa na chuo kilichosajiliwa na serikali ni kozi halali. Kinachokea ajira portal sometimes huwa ni changamoto za kimfumo, mfano mimi nimesoma uchumi pure no and walala nini lkn mfumo bado ulikua unanikataa, ingawa sasa hivi tayari imeshakubali...
  11. captain 21

    JamiiForums Tanzania KERO Mfumo wa Ajira unawakataa waliosoma kozi ya Development Finance & Investment Planning

    Mrejesho wakuu Yeah nahisi itakua hivyo maana kila mtu alikua analalamika
  12. captain 21

    JamiiForums Tanzania Changamoto ajira portal kushindwa kutuma maombi ajira za TPA

    Mrejesho: Wakuu nimefanikiwa kuapply, nahisi ilikua ni changamoto tu ya kimfumo maana imekubali tu bila kufanya additional changes yeyote..
  13. captain 21

    JamiiForums Tanzania KERO Mfumo wa Ajira unawakataa waliosoma kozi ya Development Finance & Investment Planning

    Naona mfumo umeshatulia sasa nime-submitt leo mida hii ya jioni imekubali
  14. captain 21

    JamiiForums Tanzania KERO Mfumo wa Ajira unawakataa waliosoma kozi ya Development Finance & Investment Planning

    Hizi ajira TPA zimekua kusanga sana, mimi mwenyewe nimesoma Uchumi na watu wa uchumi kwenye category za Planning Officer II tupo lkn kila nikiomba mfumo unanigomea
Back
Top Bottom